Collector
Baraza la Madiwani Jiji la Tanga, RCC watunishiana misuli | Collector
Baraza la Madiwani Jiji la Tanga, RCC watunishiana misuli
Mwananchi

Baraza la Madiwani Jiji la Tanga, RCC watunishiana misuli

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Tanga limeazimia kuwa vituo vya mabasi ya mikoani vilivyopo katikati ya jiji vihamishiwe kwenda Kituo Kikuu cha Mabasi cha Kange kuanzia Julai mosi, 2026, licha ya upinzani uliotolewa awali na Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC).

Go to News Site