Mwananchi
Baada ya shauri la usajili wa chama kipya cha siasa, The Independent People’s Party (IPP) kukwama mara mbili kuanza usikilizwaji katika hatua za awali kutokana na kutokupangiwa jaji, Hatimaye sasa shauri hilo limepangiwa jaji atakayelisikiliza.
Go to News Site