Collector
Dereva bodaboda adaiwa kuuawa na wasiojulikana, mwili watupwa porini | Collector
Dereva bodaboda adaiwa kuuawa na wasiojulikana, mwili watupwa porini
Mwananchi

Dereva bodaboda adaiwa kuuawa na wasiojulikana, mwili watupwa porini

Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la Mkono wa Mara, Wilaya ya Morogoro.

Go to News Site