Collector
Saba matatani Mbeya, tuhuma za ajira feki | Collector
Saba matatani Mbeya, tuhuma za ajira feki
Mwananchi

Saba matatani Mbeya, tuhuma za ajira feki

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kujipatia Sh81 milioni kwa njia za udanganyifu wa kutoa ajira kwa vijana 80, kupitia kampuni ya Q Net na Global Alliance.

Go to News Site