Mwananchi
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeandika historia mpya katika huduma za afya nchini baada ya madaktari bingwa wa hospitali hiyo kufanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo, maarufu laparoscopic surgery.
Go to News Site