Collector
Wananchi walalama soko la Ndala kugeuka makazi ya popo | Collector
Wananchi walalama soko la Ndala kugeuka makazi ya popo
Mwananchi

Wananchi walalama soko la Ndala kugeuka makazi ya popo

Zaidi ya miaka 10 tangu kuanza kwa ujenzi wa Soko la Ndala kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), wananchi wa kata hiyo wameibuka na kilio kipya wakiiomba Serikali kulinusuru soko hilo ambalo sasa limeanza kuharibika na kugeuka makazi ya popo kutokana na kutotumika kwa muda mrefu.

Go to News Site