Mwananchi
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Tanga imewakutanisha wanawake wajasiriamali katika Kongamano la Jukwaa la Wanawake na Kodi kwa lengo la kuwaelimisha kuhusu masuala ya ulipaji kodi, kurasimisha biashara zao pamoja na kuwafungua kwenye fursa mbalimbali zinazotokana na kushiriki katika uchumi rasmi.
Go to News Site