Collector
Mwenge wa Uhuru waweka jiwe la msingi kiwanda cha kusaga kokoto cha Bilioni 3 Songea | Collector
Mwenge wa Uhuru waweka jiwe la msingi kiwanda cha kusaga kokoto cha Bilioni 3 Songea
bongo5.com

Mwenge wa Uhuru waweka jiwe la msingi kiwanda cha kusaga kokoto cha Bilioni 3 Songea

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Wazo Michael Mwang’onda ameweka jiwe la msingi la mradi wa kiwanda cha kusaga kokoto cha Kampuni ya OVANSI kilichopo Kijiji cha Lipokela, Kata ya Mbinga Mhalule, Halmashauri ya Wilaya ya Songea, huku akieleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa mradi huo wenye lengo la kuchochea maendeleo ya kiuchumi …

Go to News Site