Wajumbe wa bodi ya Kahawa wametembelea kiwanda cha kuchakata kahawa cha Amimza kinachozalisha takribani tani 18,000 ya zao hilo.