HabariLeo
DAR ES SALAAM: Wataalamu wa afya wamewataka wanafunzi wa udaktari na madaktari wa watoto kujikita katika taaluma ya Rheumatology kwa watoto ili kupunguza uhaba mkubwa wa wataalamu wa magonjwa hayo nchini na barani Afrika kwa ujumla. Licha ya ongezeko la magonjwa hayo, takwimu zinaonyesha kuwa Afrika yenye zaidi ya watu bilioni 1.4 ina chini ya … The post Madaktari taaluma ya Rheumatology wahitajika zaidi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site