Collector
Dk. Mwigulu ataka wanafunzi wasizuiwe kufanya mitihani kwa kushindwa kulipa ada | Collector
Dk. Mwigulu ataka wanafunzi wasizuiwe kufanya mitihani kwa kushindwa kulipa ada
bongo5.com

Dk. Mwigulu ataka wanafunzi wasizuiwe kufanya mitihani kwa kushindwa kulipa ada

*Asema Serikali itaendelea kuongeza fedha za mikopo ya elimu ya juu WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za elimu nchini kutowazuia wanafunzi kufanya mitihani ya masomo yao kwa kushindwa kulipa ada. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali itaendelea kuongeza fedha za mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na vyuo vya kati ili wanafunzi wengi …

Go to News Site