bongo5.com
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewarejesha katika orodha ya wagombea wawili wa udiwani wa Kata ya Bwongera baada ya kukubali rufaa zao zilizopinga uamuzi wa kutoteuliwa kugombea katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika Juni 1, 2026. Uamuzi huo umetolewa Mei 15, 2026 baada ya kikao maalum cha Tume kilichosikiliza sehemu ya rufaa tano zilizowasilishwa kwa …
Go to News Site