bongo5.com
TAASISI ya Uongozi imezindua Mpango Mkakati wake wa nne wa miaka mitano kwa kipindi cha 2026/27 hadi 2030/31, ukiwa na lengo la kuendeleza uongozi kwa maendeleo endelevu barani Afrika. Mpango huo mpya umeelezwa kuwa ni mwendelezo wa mafanikio yaliyopatikana katika mipango mitatu iliyopita, huku ukiweka vipaumbele vipya vinavyolenga kukabiliana na changamoto zinazoibuka kitaifa, kikanda na …
Go to News Site