Collector
‘Mradi wa barabara Tarime – Mugumu uzingatie ubora’ | Collector
‘Mradi wa barabara Tarime – Mugumu uzingatie ubora’
HabariLeo

‘Mradi wa barabara Tarime – Mugumu uzingatie ubora’

MARA: KATIBU wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi amesisitiza mradi wa barabara ya Tarime hadi Mugumu ujengwe ukizingatia ubora ili kuepusha uharibifu wa mapema wa barabara baada ya kukamilika. Kihongosi ameeleza hayo leo Mai 16,2026 alipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa barabara hiyo ambayo inagharimu zaidi … The post ‘Mradi wa barabara Tarime – Mugumu uzingatie ubora’ first appeared on HabariLeo .

Go to News Site