Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania usimamizi mzuri wa miradi | Collector
Mwananchi
Benki ya Dunia yaipongeza Tanzania usimamizi mzuri wa miradi
Benki ya Dunia (WB) imeipongeza Tanzania kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayofadhiliwa na taasisi hiyo, ikiitaja kuwa miongoni mwa mataifa yanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa barani Afrika.