Collector
Ujenzi SGR Tanga-Arusha-Musoma wahojiwa bungeni | Collector
Ujenzi SGR Tanga-Arusha-Musoma wahojiwa bungeni
HabariLeo

Ujenzi SGR Tanga-Arusha-Musoma wahojiwa bungeni

DODOMA; Mbunge wa Tanga Mjini, Kassim Mbaraka amehoji bungeni ni lini ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Bandari ya Tanga – Kilimanjaro – Arusha – Singida hadi Musoma yenye urefu wa kilometa 1108 utaanza. Akijibu swali hilo bungeni leo Mei 19, 2026, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amesema serikali kupitia TRC imekamilisha upembuzi … The post Ujenzi SGR Tanga-Arusha-Musoma wahojiwa bungeni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site