HabariLeo
DAR ES SALAAM: CHUO cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA-ITA), kimeanza mchakato wa kuanzisha Shahada ya Uzamili ya Kodi (Masters Degree in Taxation), itakayolenga kuzalisha wataalamu wenye ujuzi wa vitendo unaokidhi mahitaji ya soko la ajira na kuongeza ulipaji wa kodi kwa hiari nchini. Akizungumza katika kikao cha ushirikishwaji wa wadau mbalimbali kilichofanyika … The post TRA yaja na Shahada ya Uzamili ya Kodi kuongeza wataalamu first appeared on HabariLeo .
Go to News Site