Collector
Vipaumbele 8 bajeti ya ulinzi mwaka 2026/27 | Collector
Vipaumbele 8 bajeti ya ulinzi mwaka 2026/27
HabariLeo

Vipaumbele 8 bajeti ya ulinzi mwaka 2026/27

DODOMA; Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk Rhimo Nyansaho amewasilisha bungeni hotuba ya makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ikiwa na vipaumbele 8. Akiwasilisha bungeni hotuba hiyo leo Mei 19, 2026, ametaja vipaumbele hivyo ni kuliimarisha jeshi kwa zana na vifaa vya kisasa, kiteknolojia, mawasiliano na … The post Vipaumbele 8 bajeti ya ulinzi mwaka 2026/27 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site