Mwananchi
Mahakama ya Rufani nchini imetupilia mbali rufaa ya Wakili Steven Cleophace aliyekuwa akipinga uamuzi wa Mahakama Kuu iliyotupilia mbali shauri lake la mapitio ya kimahakama kupinga mchakato wa uchaguzi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS).
Go to News Site