Collector
RC Mwanza aagiza Sh milioni 111 ilipwe fidia wakazi Mwanza | Collector
RC Mwanza aagiza Sh milioni 111 ilipwe fidia wakazi Mwanza
HabariLeo

RC Mwanza aagiza Sh milioni 111 ilipwe fidia wakazi Mwanza

MWANZA: MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameiagiza Halmashauri ya jiji la Mwanza kulipa fidia ya ardhi ya thamani Sh milioni 111 kwa wakazi 26 wa mitaa wa Luchelele Ziwani,Kisoko na Kasamiko iliopo katika kata ya Luchelele. Deni hilo limetokana kupitia mradi wa kupanga,kupima na kumilikisha viwanja katika kata ya Luchelele mwaka 2006. Mtanda … The post RC Mwanza aagiza Sh milioni 111 ilipwe fidia wakazi Mwanza first appeared on HabariLeo .

Go to News Site