Collector
Bunge SC yadhaminiwa vifaa vya michezo | Collector
Bunge SC yadhaminiwa vifaa vya michezo
HabariLeo

Bunge SC yadhaminiwa vifaa vya michezo

DODOMA; Kampuni ya Smart Sports imedhamini vifaa vya michezo kwa timu ya Bunge SC ya michezo mbalimbali, ikiwa sehemu ya maandalizi ya mashindano mbalimbali ya michezo yakiwemo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. ‎ ‎Akizungumza leo Mei 19, 2026 jijini Dodoma wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo, Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Rebeca Nsemwa ameishukuru kampuni hiyo … The post Bunge SC yadhaminiwa vifaa vya michezo first appeared on HabariLeo .

Go to News Site