Collector
Wabuni mfumo wa kidijitali kubaini hewa hatarishi katika makazi | Collector
Wabuni mfumo wa kidijitali kubaini hewa hatarishi katika makazi
Mwananchi

Wabuni mfumo wa kidijitali kubaini hewa hatarishi katika makazi

Katika hali ya kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa hali ya hewa jijini Dar es Salaam, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) wamebuni mfumo wa kisasa wa kiteknolojia unaolenga kufuatilia hali ya hewa na kutoa taarifa za uwepo wa gesi hatari na vichafuzi katika mazingira.

Go to News Site