Collector
Mahakama yashindwa kuamua hatima kesi ya mgawanyo wa rasilimali Chadema | Collector
Mahakama yashindwa kuamua hatima kesi ya mgawanyo wa rasilimali Chadema
Mwananchi

Mahakama yashindwa kuamua hatima kesi ya mgawanyo wa rasilimali Chadema

Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeshindwa kutoa uamuzi wa pingamizi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) dhidi ya kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa kati ya Tanzania Bara na Zanzibar inayokikabili, kutokana na kutokamilika.

Go to News Site