Gawio la wanahisa NMB lafikia Sh305 bilioni | Collector
Mwananchi
Gawio la wanahisa NMB lafikia Sh305 bilioni
Gawio hilo linajumuisha gawio la kawaida la Sh504.26 kwa kila hisa lenye thamani ya Sh252 bilioni pamoja na gawio maalumu la Sh105.89 kwa kila hisa lenye thamani ya Sh52.95 bilioni.