HabariLeo
MAKETE: Zaidi ya vijana 160 wa Wilaya ya Makete walionufaika na msaada wa mbolea bure kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Mbolea (TFRA) wameanza kufurahia matunda ya mtaji waliouomba kutoka serikalini. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya vijana waliotembelewa na TFRA kuona maendeleo yao wamesema mtaji wa mbolea waaliopewa umeleta matokeo mazuri na kuacha alama isiyofutika. … The post Wanufaika wa mbolea Makete waanza kuvuna matokeo first appeared on HabariLeo .
Go to News Site