Mwananchi
Serikali imesema haina mpango wa kuanza kuchapisha vitambulisho vya Taifa vya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) Zanzibar kwa mfumo unaotumika katika utoaji wa pasi za kusafiria, ikieleza mfumo wa sasa wa uchapishaji wa pamoja unaimarisha usalama na kudhibiti udanganyifu.
Go to News Site