HabariLeo
MBUNGE wa Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa (CCM), amesema sehemu kubwa ya miundombinu ya barabara imeanza kufikia muda wake wa mwisho wa matumizi, hivyo kuishauri serikali kuongeza nguvu katika ukarabati wa barabara hizo. Akichangia hotuba ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027, … The post Kadogosa ataka nguvu zaidi ukarabati miundombinu ya barabara first appeared on HabariLeo .
Go to News Site