Mwananchi
Marekani imetangaza mashtaka ya mauaji dhidi ya Rais wa zamani wa Cuba, Raúl Castro, hatua inayotajwa kuwa ni mwendelezo wa kampeni kali ya Marekani dhidi ya serikali ya kikomunisti ya taifa hilo la visiwani.
Go to News Site