Collector
Mfanyabiashara kortini akidaiwa kujipatia Sh120 milioni kwa udanganyifu | Collector
Mfanyabiashara kortini akidaiwa kujipatia Sh120 milioni kwa udanganyifu
Mwananchi

Mfanyabiashara kortini akidaiwa kujipatia Sh120 milioni kwa udanganyifu

Mfanyabiashara, Abdul Razak Ahmed (37) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kujipatia Sh120 milioni kwa njia ya udanganyifu.

Go to News Site