Mwananchi
Wafanyabiashara na wataalamu wa mifugo wamesema machinjio yanayotumiwa kwa sasa ya Kisakasaka Mkoa wa Mjini Magharibi hayafai kwa ajili ya usalama na afya za watumiaji, hivyo wameiomba Serikali kujenga machinjio ya kisasa kwa ajili ya usalama wa afya za watumiaji.
Go to News Site