Collector
Njombe kugeuka kitovu kipya cha madini nchini | Collector
Njombe kugeuka kitovu kipya cha madini nchini
HabariLeo

Njombe kugeuka kitovu kipya cha madini nchini

NJOMBE: MKOA wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uchumi wa madini nchini kufuatia uwekezaji mkubwa katika miradi ya uchimbaji na uchakataji wa madini ya chuma inayolenga kufungua maelfu ya ajira, kukuza biashara za ndani na kuongeza mapato kwa wananchi wa Wilaya ya Ludewa. Ofisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Lucas Mlekwa, amesema … The post Njombe kugeuka kitovu kipya cha madini nchini first appeared on HabariLeo .

Go to News Site