Collector
Tanzania nafasi ya pili Afrika ubora mazao ya nyuki | Collector
Tanzania nafasi ya pili Afrika ubora mazao ya nyuki
HabariLeo

Tanzania nafasi ya pili Afrika ubora mazao ya nyuki

TABORA: TANZANIA imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ubora wa mazao ya nyuki hususani asali iliposhiriki maonesho yaliyofanyika Afrika Kusini 2025. Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dk John Mboya amesema hayo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani viwanja vya kumbukumbu ya Vita mkoani Tabora . Dk Mboya amesema licha kushika nafasi ya … The post Tanzania nafasi ya pili Afrika ubora mazao ya nyuki first appeared on HabariLeo .

Go to News Site