Wizara ya Viwanda na Biashara Zanzibar yaja na vipaumbele vitatu | Collector
Mwananchi
Wizara ya Viwanda na Biashara Zanzibar yaja na vipaumbele vitatu
Wizara ya Maendeleo ya Viwanda na Biashara imepanga kutekeleza vipaumbele vitatu vinavyolenga kuimarisha sekta hiyo, kutafuta masoko pamoja na kuimarisha mazingira ya ufanyaji biashara na utoaji huduma.