Collector
Sua yaanza utekelezaji miradi ya Sh3.4 bilioni | Collector
Sua yaanza utekelezaji miradi ya Sh3.4 bilioni
Mwananchi

Sua yaanza utekelezaji miradi ya Sh3.4 bilioni

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) kimeanza utekelezaji wa miradi mipya 12 ya utafiti ya thamani ya Sh3.4 bilioni yenye lengo la kukuza maarifa na kutatua changamoto kwenye sekta ya kilimo, mifugo, mazingira na maendeleo ya jamii kwa ujumla.

Go to News Site