HabariLeo
DODOMA:MBUNGE wa Jimbo la Malinyi Dk Mecktridis Mdaku ameiomba Wizara ya Ujenzi kuendelea kuzingatia changamoto za kijiografia na mazingira katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu, akisema maeneo yenye mvua nyingi na mafuriko yanahitaji mbinu maalumu za ujenzi wa kudumu. Akichangia hotuba ya Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara … The post Mbunge Malinyi akumbushia miundombinu ya barabara first appeared on HabariLeo .
Go to News Site