KONA YA MSTAAFU: Ngoma za mstaafu zinapokaribia kupasuka! | Collector
Mwananchi
KONA YA MSTAAFU: Ngoma za mstaafu zinapokaribia kupasuka!
“Kila mwenye ngoma zake acheze na zipasuke” ulikuwa msemo mmojawapo wa wahenga wetu waliokikuza Kiswahili chetu. Kwamba kila mtu ana haki ya kufanya jambo lake mradi tu hawabughudhi watu wengine.