bongo5.com
Kupitia Recap na Mando @el_mando_tz amezungumza juu ya mjadala ulioletwa na mkongwe @fidq_words kwamba kwa sasa wasanii hawaimbi mapenzi wanaimba ngono, @el_mando_tz amechambua juu ya kauli hiyo na kutoa maoni yake. Kuangalia uchambuzi kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive
Go to News Site