bongo5.com
Baada ya klabu ya Yanga kumaliza na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars, Mchambuzi wa mpira wa miguu @jemedarisaid ameonekana kuchukizwa na namna goli la kwanza walilopata klabu ya Yanga lilivyotokea huku akitoa dukuduku lake zito kwa Metacha pamoja na kudai Yanga hakuna washambuliaji Wazuri.
Go to News Site