Collector
Rais Samia kuzingua programu ya mazingira Dodoma | Collector
Rais Samia kuzingua programu ya mazingira Dodoma
HabariLeo

Rais Samia kuzingua programu ya mazingira Dodoma

ARUSHA: Rais wa Dk Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Programu ya Kitaifa ya Mageuzi ya Kimkakati ya Mazingira Endelevu Tanzania jijini Dodoma katika kilele cha siku ya Mazingira Duniani Juni 5, 2026. Ofisi ya Makamu wa Rais imeandaa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo Kitaifa yatafanyika katika Mkoa wa Dodoma mnamo Juni 5, 2026, … The post Rais Samia kuzingua programu ya mazingira Dodoma first appeared on HabariLeo .

Go to News Site