Waziri Mkuu aonya wanaotumika kuhujumu utulivu wa nchi | Collector
Mwananchi
Waziri Mkuu aonya wanaotumika kuhujumu utulivu wa nchi
Dk Mwigulu amesema Serikali imebaini kuwepo kwa watu wanaoendesha shughuli za makusudi za kuchochea taharuki katika jamii, huku akiwataka wananchi kuwa makini na taarifa wanazopokea hasa mitandaoni.