Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi, amesema umefika wakati kuondokana na taasisi za umma ambazo zinapewa mishahara na ruzuku kutoka Serikali kuu.