Collector
‘Viwango ni msingi wa afya, uchumi’ | Collector
‘Viwango ni msingi wa afya, uchumi’
HabariLeo

‘Viwango ni msingi wa afya, uchumi’

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema uzingatiaji wa viwango katika uzalishaji wa bidhaa na huduma ni msingi muhimu wa kulinda afya za wananchi, kukuza biashara, kuimarisha viwanda vya ndani na kujenga uchumi endelevu wa taifa. Chalamila ameyasema hayo katika hafla ya Viwango Marathon iliyoandaliwa na Shirika la Viwango … The post ‘Viwango ni msingi wa afya, uchumi’ first appeared on HabariLeo .

Go to News Site