Mchungaji Msigwa apokewa rasmi Chadema, yeye asema… | Collector
Mwananchi
Mchungaji Msigwa apokewa rasmi Chadema, yeye asema…
Baada ya kutangaza nia ya kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amepokewa rasmi ndani ya chama hicho kwa kukabidhiwa kadi ya uanachama.