Collector
Crawford atua Tanzania, Mafuru ampokea | Collector
Crawford atua Tanzania, Mafuru ampokea
HabariLeo

Crawford atua Tanzania, Mafuru ampokea

DAR ES SALAAM:!Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Ephraim Mafuru, amemkaribisha nchini kwa mara ya kwanza bingwa wa masumbwi duniani, Terence Crawford, ambaye katika historia yake hajawahi kupoteza pambano lolote. Ziara hiyo ya wiki moja nchini imeandaliwa kwa ushirikiano kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na … The post Crawford atua Tanzania, Mafuru ampokea first appeared on HabariLeo .

Go to News Site