Collector
Wanawake 150 wa jamii za kifugaji wapatiwa hati za kimila Manyara | Collector
Wanawake 150 wa jamii za kifugaji wapatiwa hati za kimila Manyara
Mwananchi

Wanawake 150 wa jamii za kifugaji wapatiwa hati za kimila Manyara

Wanawake 150 kutoka jamii za wafugaji wilayani Simanjiro na Kiteto mkoani Manyara wamekabidhiwa hati za kimila za umiliki wa ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kiuchumi na kupunguza changamoto za mila na desturi zinazowanyima wanawake haki ya kumiliki ardhi.

Go to News Site