Mwananchi
Katibu Mkuu wa National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo ameipongeza Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kwa hatua ya kukiandikia barua Chama cha Mapinduzi (CCM) kijieleze kuhusu kauli zilizotolewa na mmoja wa viongozi wake.
Go to News Site