Collector
Lissu arudi tena mahakamani kesi ya rasilimali Chadema | Collector
Lissu arudi tena mahakamani kesi ya rasilimali Chadema
Mwananchi

Lissu arudi tena mahakamani kesi ya rasilimali Chadema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amerudi mahakamani kuomba kujumuishwa katika kesi ya madai ya mgawanyo wa rasilimali usio sawa ndani ya chama hicho baina ya Bara na Zanzibar.

Go to News Site