Wizara tatu kikaangoni bungeni, mjadala ardhi kutikisa | Collector
Mwananchi
Wizara tatu kikaangoni bungeni, mjadala ardhi kutikisa
Mkutano wa tatu wa Bunge utaendelea tena wiki ijayo, kuanzia kesho Mei 25, 2026, wizara tatu zitawasilisha bajeti zao kwa maombi ya fedha ya mwaka wa bajeti 2026/27.