Collector
Mauaji ya Mchina Dar yaiibua Serikali, yatoa tamko | Collector
Mauaji ya Mchina Dar yaiibua Serikali, yatoa tamko
Mwananchi

Mauaji ya Mchina Dar yaiibua Serikali, yatoa tamko

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Serikali imepokea kwa masikitiko kifo cha mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha XIL LI, Bhaozang Ge (50), aliyekuwa akichangia maendeleo ya sekta ya uwekezaji na ajira nchini.

Go to News Site