Radio Jambo
Ukisikia kesho unaweza kutajirika kwa sababu @UFAAKenya wamekutunzia financial assets zako hata zile ambazo hukuwa unajua unazo . Hakikisha unemefika Nyayo Gardens Nakuru kesho mapema upate usaidizi wa kupata hela zako. Huduma hii hautailipia chochote kwa hivyo usiogope.
Go to News Site